Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu,
huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili
mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU.
Mchana mwema
*MCHANA*
*mwema*
,.*””-.,*,.-””*.,
sms kutoka ndani ya “MOYO” wangu
sehemu ambayo wanakaa wapendwa wangu
kama wewe. nimekumiss.....
(‘-‘) Unatabasamu
(!.!) Unalia
(‘;’) Una hasira
(‘:’) Kuna mtu amekuboa
(‘.’) Unajivunia
(‘o’) Una hasira
(‘?’) Umechanganyikiwa
(-.-) Unasikia usngz
Napenda kukupa company ukiwa vyovyote
Mchana mwema...........