Najua una majonzi kwa kuwa uliyempenda kakumwaga machozi kwa kukuacha ungali
walihitaji penzi lake, nimekuja mwokozi kukufuta machozi kwakukupa la dhati
penzi. Nakupenda mpenzi amini sitalimwaga lako chozi, na daima nitakuenzi.
Hivi ni lini penzi utanipa, nimechoka na ahadi unazonipa kila kunapokucha,
tambua kwako nimefika na siku utakayonipa zawadi nzuri nitakupa na hutanisahau
Tags:
MAHABA