* Giza limeingia simuoni wakunikumbatia niko kama kinda la njiwa na zaidi ya mshitakiwa m hatiya, sjiui wapi joto kwa kwakulipatia na wajua kipupwe kimewadia, uko wapi my dear?
*Mpenzi nime ku miss jamani, sipati meseji wala simu sijuwi kwa nini, nikikumbuka hunayofanyaga, natamani ungekuwa nami pembeni nakunipa mahaba ya siyo kifani . nakupenda si utani hani.
*Mambo yako adimu ndiyo yanayonipa wazimu, nikuonapo hupatwa hamu, hutamani unipatiye wako utamu, la azizini lini utakuja kunitoa hamu, hakika nimemiss wako utamu na kwa kuupata sifahamu maana ni wewe tu ndiyo mtaalamu. Miss u
Tags:
I MISS YOU