Nilikuwa nikifiria kwamba ndoto haziwezi kuwa kweli, lakini nilibadili mawazo yangu pale tu nilipokuona wewe.
****Baadhi ya watu huzaliwa na vipaji. Huweza kufanya mambo mazuri kwa ujuzi wao, lakini hamna anayekufikia wewe, kwani ukinisogelea tu kila kitu huwa kizuri.
****
Can I say I love you today? If not, can I ask you again tomorrow? And the day after tomorrow? And the day after that? Coz I'll be loving you every single day of my life.
Tags:
MAHABA