-Ndoto yangu kubwa ni kuamka na wewe, na hivi karibuni itatimia. Habari ya asubuhi mpenzi.
-Wewe ni maisha yangu. Wewe ni kila kitu ninahitaji. Wewe ndiye chanzo kikuu cha furaha kwa moyo wangu. Habari ya asubuhi mpenzi.
-Kuwa na wewe kando yangu ni bora kuliko ndoto yoyote ambayo ningeweza kufikiria. Habari ya asubuhi mpenzi.
Tags:
ASUBUHI NJEMA