Neno "ASUBUHI NJEMA" ni dogo sana lakini huwezi kulipata kwa asiye kujali, kukukumbuka na kukupenda, lakini mimi naona umuhimu wa kukutakia
"ASUBUHI NJEMA. JE, UMEAMKA SALAMA? si lazima ujibu kwa meseji! hata ukitabasamu na kutikisa kichwa tu inatosha! Asubuhi njema.
Ni vigumu kumpata mwenye mapenzi ya kweli na zaidi yule atakayekuwa tayari kukupenda zaidi, hivyo nafasi inapopatika si busara kuichezea tudumishe penzi letu laazizi wangu.
Tags:
ASUBUHI NJEMA