Acha nikupatie moyo wangu kwa sababu unaugua na kupata tabu juu ya hisia zangu za mapenzi juu yako, kumbuka kuwa nimezunguka koote lakini moyo wangu haujabahatika kumpata mtu ambae atakuwa tabibu na kuweza kuutibu moyo wangu zaidi yako, nakupenda please naomba usiuadhibu kwani wewe ndie wa kuuponya nakupenda sana naomba unielewe.
Nahisi kama mikosi balaaa ambayo imeuteka moyo wangu maana sometimes najihisi nakuwa kichaa hiyo yote kutokana na nafsi yangu kuzama kwako, fikra zangu na hisia zangu zinazidi kunipa wakati mgumu hasa pindi nishindwapo kuzielekezea hisia zangu kwako kiukweli nakupenda, na nakupenda toka moyoni💞💖💛💘💕💓💞💖💝💓💛💘💞💕💘
Tags:
KUTONGOZA