Siku njema wangu....


Mapenzi ni nini? Wale wasiopenda huita majukumu, wale wanaoyachezea huita mchezo, wale wasiokuwa nayo huita ndoto, na wale wanaoelewa huyaita mwisho wa safari, na mimi, mwisho wangu ni wewe.

 Love is something special, a treasure I want to find... To others, love is blind but for me, its not true, coz when I fell in love...I saw you. 

Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu, basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bila kukupenda wewe. siku inaendaje mpenzi wangu



Post a Comment

Previous Post Next Post