Mpenzi wangu nakupenda sana ila tafadhali naomba nioneshe nini maana ya upendo, nini maana ya hisia huwenda mimi ni mfungwa nisie tambua nini maana ya mapenzi nimekuwa mateka kwa sababu ya kutekwa na hisia za penzi lako kwangu, nieleze tafadhali kwanini nakupenda ila hutambui hisia zangu kwani huenda unajua sababu ya kunifanya nidate maana unatamani niwe nimekwisha kabisa nipende na mimi nijione ni mshindi miongoni mwa washindi wa mapenzi.NAKUPENDA SANA
Tags:
I MISS YOU