Hivi kweli haya ndiyo mapenzi ama naota
njozi? Nimefanya kila naloweza kuliimarisha
letu penzi lakini naishia kuambulia majonzi,
nimekuwa mtu wa kububujikwa na machozi
kwa sababu ya lako penzi, kama nimekukosea
tafadhali niwie radhi mpenzi, nakupenda na
amini wewe pekee ndiye uliyetimiza ndoto
yangu ya mapenzi.
___________________________________
Hivi ni kosa gani nilililokutendea ambalo
sipaswi kusamehewa? Ni kweli nilikosea
nahitaji kusamehewa mpenzi, plz naombanielewe kwani sina mwingine zaidi yako
wewe. Luv u
________________
Tags:
MSAMAHA