Uamkapo nitakupa langu tabasamu
Ukweli wa moyo utawale roho yakoKwani macho yako ndo uzuri kwangu
Nakupenda sasa na milele kipenzi channgu,,
Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani, Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekee mwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni, Usije ukaondoka hakuchinji asilani, Mwambie namkumbuka hatoki mwangu moyoni. ucku mwema
Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia,
fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu,
fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo
kwa kukutumia sms mpenzi wangu,
Nakutakia usiku mwema
Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani, Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekee mwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni, Usije ukaondoka hakuchinji asilani, Mwambie namkumbuka hatoki mwangu moyoni. ucku mwema
'
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/3ynh0Ft
Tags:
MAHUSIANO