Meseji nzuri ya kumtumia mpenzi wako

Namini utakuwa umerejea kwenye yako makazi na umechoka na kazi mpenzi, badili yako mavazi, bafuni ingia upate maji kujimwagia, nakupenda la azizi, pole sana na kazi!


 Huna haja ya kulia kwa yaliyotokea kwani si wakwanza katika hii dunia, mpenzio kumfumania, wengi huwatokea katika hii dunia, tulia na vumilia Mungu atakupatia mpenzi aliyetulia, pole rafiki yangu klpenzi ndiyo mambo ya dunia!

Post a Comment

Previous Post Next Post