Ningependa siku moja utamani sana kuwa na mimi, na uhangaike sana kunitafuta, ili ujue ni kwa kiasi
ninavyotamani kuwa nawe sasa.
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/3mlKujF
ninavyotamani kuwa nawe sasa.
Usiku huu ni mrefu ajabu, kuna baridi kali kuliko maelezo, natamani ungekuwa pembeni yangu nipate joto lako!
Ingawa upo mbali nami, lakini amini kuwa nakupenda kwa mapenzi yangu yote, lala salama dear, mwaaaaa!Kuna miezi 12 katika mwaka…siku 30 katika mwezi…siku 7 katika wiki, masaa 24 katika siku…dakika 60 katika saa……lakini wewe ni mmoja tu maishani mwangu.
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/3mlKujF
Tags:
MAHUSIANO