sms za mahaba

 







Mahaba unayonipa natamani niwe nawe mpaka
 kufa,
kila siku zinavyozidi kupita
najuta kwanini nilichelewa penzi kukupa,
nakupenda na nitakupenda hadi kufa!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hivi ni lini penzi utanipa, nimechoka na ahadi
 unazonipa kila kunapokucha,
tambua kwako nimefika na siku utakayonipa
 zawadi nzuri nitakupa na hutanisahau
hadi kufa.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nisamehe la azizi ukweli mbona uko wazi,
yule si wangu mpenzi ila ni rafiki yangu
kipenzi, yangu mapenzi ni wewe pekee nayekupa mpenzi,
katika hii dunia ni wewe
pekee penzi nayekupatia!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Uko wapi wangu malkia, mwenzio hamu nasikia nawe
 ndiye ujuwaye hamu kunitoa,
tafadhali dear upatapo msg hii tambua nyumbani
 nakusubiria! Luv u
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hakika raha wajua kunipatia, fimbo wajua kuitumia sharti
mtoto wakike nabaki
nagugumia kwa raha unayonipatia ambayo wengi
 wanaililia , plz utamu wangu
nitunzie!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nashukuru kwa miguno uliyonipatia na kiuno kunikatia,
 utamu niliousikia
nilitamani kulia hatima ilipowadia , nakupenda
dia usije utamu wangu mwingine
kumpatia! Luv u
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Wikiendi ndiyo imeisha, majukumu hatunabudi kuyatimiza dear,
 kuwa nawe muda mrefu
nimefurahia nakujihisi malkia katika hii dunia kuwa
 nawe najivunia. Luv u

•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Wangu Malkia nashukuru kwa mahaba uliyonipatia,
 nikikumbuka miguno na viuno ulivyonipatia na
raha niliyojisikia, nahisi kuna mwingine unampatia,
 please dear penzi langu usije wengine kuwapatia! Nakupenda.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nashukuru kwa yako dozi hakika katika
mapenzi wewe ni mkufunzi,
wajua bakora kuitumia, mpenzi usije ukawa na
mwingine
 unayempatia, hakika nikijua nitaumia kama
sikujiuam. Nnakupenda!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nimeamini wewew ni mtalam wajua kunitoa hamu,
 unipapasapo huhisi kupoteza fahamu, maneno yako
 matamu hunizidisha hamu, hakika
 wajua kunikamua, luv u.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hakika nimepata tabibu, maradhi yangu wajua
 kujyatibu,
 napenda jinsi unavyonitibu,
 huna papara yaani ni taratibu,
 mpenzi usijemuonyesha mwingine hizo
 zako zabibu,
 maswahibu yakatayonisibu hakuna
atakayeweza kuyatibu, nakupenda.

•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Usiku wa jana ulikuwa wa aina yake, ulinipa mambo
 matamu yasiyo ya kawaida,
 ulinifurahisha sana mpenzi wangu,
 ulidhihirisha kuwa wewe ni kidume
 uliyeubwa kwa ajili yangu..

•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nakumbuka siku utamu ulityonipa maneno
 matamu kedekede hukusita kunipa na
ahadi kibao masikioni mwangu zilisikika,
 hakika roho yangu haikusita kuamini
 kwako nimefika, nashangaa
 leo utamu hutaki nipa!

•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Wikiend ndiyo siku niliyokuwa nikiisubiria mimi
nawe mpenzi tupate tulia, mahaba na
 maneno matamu ndio zawadi
niliyokuandalia. Kumbuka yetu
 miadi na jali wakati!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Masika ndiyo hiyo imewadia, baridi nalo ndio
 limenichachia, mpenzi
 lini waja joto kunipatia?
Mwezio naumia!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Nashukuru kwa yako dozi hakika katika mapenzi
 wewe ni mkufunzi, wajua bakora kuitumia,
 mpenzi usije ukawa na mwingine
unayempatia, hakika nikijua nitaumia
 kama sikujiuam. Nnakupenda!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nimeamini wewew ni mtalam wajua kunitoa hamu,
 unipapasapo huhisi kupoteza fahamu,
maneno yako matamu hunizidisha
 hamu, hakika wajua kunikamua,
 luv u.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Kuwa nawe najivunia, mtoto mapenzi wayajua,
kiuno, sauti yako tamu mithili ya
 chiriki wajua hasa kuitumia, mua wangu
wajua kuukamua, ukiniacha jua nitaumia,
 nakupenda usije niacha nitajiua!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
usiku unapoingia najawa na furaha unajua kwanini?
unaponigusa nahisi tumeumbwa wawili,
mchana nakumisi sana unapokuwa kazini,
wikiendi natamani isiishe kwani unanipa
raha ambazo siwezi kuzipata popote. . .
Naomba raha hizi usimpe mwingine. . .
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
kila ninapoona macho yako nafurahia uwepo
wako,nikiona tabasamu lako,nasikia homa ya
moyo,nikiona chozi lako la furaha
,moyo wangu unakuwa
huru kwako,nakupenda sana mpenzi
wangu na
wewe ndiye valentine wangu. . .
Pokea busu mwaaaah
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
pumzi yako kwangu ni burudani ya ajabu,
nakupenda sana busu lako maridhawa
shavuni mwangu.wewe ndiye furaha
 katika maisha yangu.labda ulikuwa
 hufahamu,nimekuficha moyoni
 mwangu mpenzi!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
darling jana umenikuna. . . .umenikuna c kdogo
 . . . .nililia ukanibembela,niliponyamaza
 ukaniliza tena,lkn fahamu kulia
 kwangu c maumivu bali utamu wako.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nashukuru wangu laaziz kwa uwepo wako,
naamin meng kunitimizia na kukata kiu la
 penzi langu kwa wako uhodari.
 Krbu mpz nikate kiu yangu.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
hakiyanani mpz unanidatisha ukitembea unatingisha,
mwenzio unanipagawisha
 kwako nimefika
na hii namaanisha
 nakupenda
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Mahaba unayonipa hakika nafarijika,
 mpenzi niliyemtaka hakika nimekupata,
 kiu yangu wajua kuikata, kuwa
 nawe hakika
 nimeukata kwani wajua kunipa
 bata! Luv u, mwaah
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•


from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/2XvBIFt

Post a Comment

Previous Post Next Post