SMS ya kumtakia sweet wako usiku mwema


Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahab
a kwenye kope zako,
naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA

Post a Comment

Previous Post Next Post