SMS ya mchana mwema kumwambia mpenzi wako aendelee kufurahia mapenzi yako


Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu,
huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili
mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU.
Mchana mwema


Post a Comment

Previous Post Next Post