Tone la mvua huonekana dogo sana, lakini kwa mwenye kiu hulisubiri kwa hamu kubwa. Sms ni kitu kidogo, lakini huonyesha mahali fulani yupo mtu
ANAYEKUPENDA, ANAKUKUMBUKA, ANAKUOMBEA,
ANAKUJALI na,
ANAKUTAKIA mafanikio mema..
Uzuri wako hung’ara kuendana na matendo yako,
Ushupavu, upole, ujasiri na uchambuzi wa kweli,
kwa yote yajayo mbeleni mwako.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Nitaenda mbali Zaidi ya maono yako
Safarini nitajenga hekalu la pendo letu
Nitapuliza filimbi kama ishara ya utambulisho wako
Na mwanzo wa sherehe ya ndoa yetu
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Tags:
I MISS YOU