SMS Za kumsihi mpenzi wako asikuache

 


T.gifSMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa bado unampenda na hujabadilika

"Japokuwa"
"Kuku" "Haogi" "Yai" "Lake" "Litabaki" "Kuwa" "Jeupe" "Tu" "Namaanisha"
"Kuwa"
"Hata" "Kama" "Ukiona"
"Nipo" ""KIMYA"" Muda"
"Mrefu" ""UPENDO"" "Wangu" "Kwako"
"""Bado"""
"Uko" Pale pale!!!!!
Usijali
"Tupo Pamoja" "Kwa" "Asilimia 100%".

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe wa kumtumia mpenzi wako kumwambia ajihadhari na maadui wa penzi lenu

Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ? Ni wale rafiki zako wanaokuletea maneno ya uongo, ndugu zako wanaotugombanisha na wachawi wanotuotea mabaya, tujihadhari tusiwape ushindi. Mapenzi yetu yadumu daima.

🔥♥♥♥


T.gifSMS nzuri ya kumsihi mpenzi wako asikuchoke na asichoke kukupenda kwani unampenda sana

Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe mtamu wa mahaba kwa umpendaye kumwambia maana ya upendo

upendo ni jibu kwamba kila mmoja anataka… .
upendo ni lugha ,
kwamba kila mmoja anaongea,
upendo hauwez kununuliwa,
na icyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,ni
siri ya maisha matamu
nakupenda mpz

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe wa kimahaba wa kumtumia msichana umpendaye kumwambia kuwa utampenda daima

nashtumiwa kwa kumpenda mcchana mmoja aliyeutesa moyo
wangu
mahakama imenihukumu kifo kwa kunyongwa na kamba upendo
lkn kwa msamaha wa raisi mapenzi
nmehukumiwa kuwa mwaminif kwake nakumpenda zaidi ya hapo
daima milele.
nakupenda mpz

🔥♥♥♥


T.gifMeseji ya kumkaribisha mpenzi wako

Njoo pendo langu nikutembeze
katika milango ya furaha
Nikuwakilishe mbele ya majamaa zangu
Nikuonjeshe asali ya pendo langu

🔥♥♥♥


T.gifSMS ya kumsihi mpenzi wako asikuache

Uchungu wa kifo hauna tofauti na maumivu nitakayoyapata ukiniachana, mpenzi usiniache nami siko tayari kukuacha.

🔥♥♥♥


T.gifSMS ya kumtumia mpenzi wako aliyeko mbali

sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbal
nami lkn penzi lako bado nalikumbuka,hakuna anayeweza
kukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpenzi wangu!

🔥♥♥♥

Post a Comment

Previous Post Next Post