Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani,
Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekeemwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni,
Usije ukaondoka hakuchinji asilani,
Mwambie namkumbuka hatoki mwangu moyoni.
ucku mwema
lala ulale vyema na upoe moyo wako,lala ulale salama utulie roho yako,lala usingizi mwema upumzishe akili yako,akujalie
karima zitimie njozi zako.usiku mwema
•·.·°¯
·.·•*•·.·°¯
·.·•from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/3FmwGg6
Tags:
MAHUSIANO