1. Kukosa hamu ya mapenzi; au
2. Uume kusimama kwa uregevu; au3. Kuwahi kufika kileleni; au
4. Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa); au
5. Kushindwa kurudia tendo la ndoa; au
6. Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo; au
7. Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji; au
8. Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu.
Tags:
KUTONGOZANA
Lovely thoughts of yours thanks 3utools panda helper 3utools download
ReplyDelete