Naapa abadani penzi langu sitalitoa asilani
ingawa upo mbali nami, nakupenda aminikwako nimefika, nitunzie langu penzi wasije
niibia washenzi.
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Hakikisho la mapenzi: . . umeingia moyoni
mwangu kukutoa itakuwa ngumu sana,wajua
moyo huwa unafunguliwa mara moja hasa kwa
ile true love . . .
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Leo ni zaidi ya mwezi toka tumeyaanza yetu
mapenzi na kila kukicha nakuota kwenye njozi
ukinipa majambozi na huishi uchokozi, sijui
lini nitaacha hizi njozi kwa kunipa laivu lako
penzi, nakupenda mpenzi
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Sijui nini chakukukwambia furaha moyoni kila
saa yanijia tangu ulivyoniambia mimba ndiyo
ishaingia hivyo mtoto nikaye nikimtarajia,
nakupenda dear hakika wewe pekee ndiye
wangu malkia!
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Naamini uatakuwa umerejea kwenye yako
makazi na umechokana kazi, t afadhali badili
yako mavazi , bafuni ingia upate maji
kujimwagia, natamani kuja kukusaidia mgongo
kuusugua na chakula kukuandalia lakini siku
haijawadia, nakupenda dear!
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/3p69eO0
Tags:
MAHUSIANO