Usiku mwema my dear,,,,

 Ulikuwa mwanzo mgumu sana kwangu ,lkn moyo nikajipa na kukuweka wazi kuwa nakupenda!

Sikuamini ulivyonikubalia na kunikaribisha moyoni mwako ,nakupenda sana dear ,usiku mwema laaziz wangu!

•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Akili yako imechoka,hata mwili wako pia!huu ni wakati wako wa kupumzika mpenzi,nakutakia usiku mwema,lkn uache moyo wako uwe macho kwa kuwa yupo anayekupenda kwa dhati! Nakupenda sana mpenzi wangu,pokea busu mwanana . . .mwaaaaaa . . . . .

•·.·°¯`·.·•*•·.·




°¯`·.·•




from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/3xQDO11

Post a Comment

Previous Post Next Post