Heri ya siku ya kuzaliwa mpenzi wangu.

 Dear siku zimekaribia, miaka …… utatimiza katika hii dunia, hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia, hongera kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi, zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi. Happy Birthday mpenzi. 

•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• 

Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi, pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi, 






from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/3zXmxUG

Post a Comment

Previous Post Next Post