Mahaba unayonipa natamani niwe nawe mpaka kufa, kila siku zinavyozidi kupita najuta kwanini nilichelewa penzi kukupa, nakupenda na nitakupenda hadi kufa!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hivi ni lini penzi utanipa, nimechoka na ahadi unazonipa kila kunapokucha, tambua kwako nimefika na siku utakayonipa zawadi nzuri nitakupa na hutanisahau hadi kufa.
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/33jbp8h
Tags:
MAHUSIANO