KUHONGA SIO DILI SOMETIMES



 Katika tafiti zangu dhidi ya wanaume weupe Kwa weusi,


ni nimegundua wanaume weusi wanapenda Sana kufanya mapenzi kuliko wanaume weupe, pia wanapenda Sana kubadilisha wanawake,wanaume wengi weupe wanaoneka ni waaminifu Kwa wenza wao.


Wanaume weupe ngona sio issue Sana kwao, huwa wanapenda Sana starehe Kama club, kufanya tour, swimming n. K


Sikujua hii tofauti inachangiwa na nini?

Post a Comment

Previous Post Next Post