LOVE IS FINDING SOMEONE WHO APPRENTICES YOU



Habari yako msomaji wangu,,,,sio kila MAHUSIANO yamepangwa kuwa na future ,,mengine ni kama daraja la kuvukia upande mwingine,,,ikitokea hakuna muelekeo,,,,usijisikie vibaya kubali haupo kwa ajili yake na yeye hayupo kwa ajili yako,,,,ukilazimisha utaishia kuumia katika maumivu ambayo yanaweza kupungua endapo utakubali uhalisia.

Post a Comment

Previous Post Next Post