Mapenzi yako ni matamu zaidi ya asali penzi lako ni dhahiri latoka moyoni halihitaji kuongeza kitu nitakupenda maisha yangu yote tamu ya moyo wangu.*
Najiuliza ni kwanini hatukujuana mapema asali wangu nakupenda kipenzi naahidi sintokusaliti wala sina wazo la kukutenda nakuomba tuendelee kupendana mpaka mwisho wa maisha yetu*
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/U57MEkb
Tags:
MAHUSIANO