- Sina haja ya mahala peponi kwa sababu nimekupata wewe. Sina haja na ndoto kwa sababu niko na wewe.
- Kama kuna kitu chochote nilifanya vizuri maishani mwangu ilikuwa ni wakati mimi nilikupea moyo wangu.
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/q8Q4Uxo
Tags:
MAHUSIANO