=Viungo vyote vya mwili wangu vinakuhitaji, inawezekana kwasababu nimeumbwa kwa ajili yako.
= Kila unachokifanya natamani niwepo, nikitumainia kila ndoto yako itimie kila muda na sehemu, niwepo nikikutakia mafanikio mema kwasababu nakujali.
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/ukXVore
Tags:
MAHUSIANO