Kati ya masaa 24 ya siku. Saa 10 ni za kufanya kazi; masaa 8 ya kulala; Saa 1 ya kula; Na masaa 4 kwa shughuli zingine. Lakini masaa yote 24, nakuwaza kila wakati!
Popote uendapo, chochote ufanyacho, jua nakupenda, Kutoka moyoni mwangu, nakupenda kweli. nakumiss moyoni mwangu...
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/Ku5rNkm
Tags:
MAHUSIANO
