Nataka kukufahamisha, wewe ni ndoto yangu. Nataka kukujulisha. Kuwa na mchana mzuri.
Malaika kama wewe ni nadra sana kumpata, nashukuru sana kuwa na wewe maishani mwangu. Habari za mchana mpenzi wangu
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/tRIJxfX
Tags:
MAHUSIANO