*Kama unayempenda amekutumia meseji akikuambia ya kuwa amekumiss, ama alitamani ungekuwa katika mkutano flani ambao hukuwepo ungemjibu hivi:
Najua napendeka. Bila shaka najua pia mimi ningejimiss kama sikujiona katika huo mkutano 🙂
*Ukigundua kama mwanamke anakupenda halafu akakutext “hello, mambo vipi?” Unafaa kumjibu kwa kumthamini kujiona kama umempa kipao mbele. Waweza kumjibu hivi.
Hello mrembo. Nimetoka kwa mazoezi sahizi/gym…waweza kunipa muda kiasi nioge kabla sijarudi?
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/KOY9320
Tags:
MAHUSIANO