UJUMBE WA MAPENZI WA KUMTAKIA USIKU MWEMA

  

KWA hakika nzi hufia kwenye kidonda, shujaa hufia vitani, siku zote mtalii hufia mbugani, mwenye mapenzi ya dhati si ajabu kufia kwa ampendaye, nimekufa kwako MPENZI

 NISEME nini ili ujue kamanakupenda? Nifanye nini ili utambue kama nakupenda?Nikuite jina gani ili ujue uko peke yako moyoni mwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio unaosema kuwa nakupenda, niaminimpenz.





from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/E4LWCSt

Post a Comment

Previous Post Next Post