Thamani ya mapenzi yako ni kubwa kwangu haifanani na chochote kwenye huu ulimwengu sina budi kumshukuru mungu kwa kunijaalia mpenzi mwenye kujali hisia zangu USICHOKE KUNIPENDA MPENZI
Mpenzi kwa mala ya kwanza nilivyo kuona niliogopa kukwambia hatanilipo kuambia niliogopa kukupenda nilipokupenda naogopa mno kukupoteza sikotayali kukukosa mpenzi.
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/saIE2L0
Tags:
MAHUSIANO