Ningependa nikwambie neno ambalo halina gharama na likitumiwa vibaya halina maana wala thamani neno hilo haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila tu linatokea bila kujua na halina sababu neno hilo mi mwenyewe silijui ila ndio linatufanya tuwe pamoja japo tupo kasi na kusi nakupenda sana dear
Mapenzi ni matamu na pia yanaraha wewe hauniishi hamu sikuzote raha wanipatia wewe kwangu ni mtu muhimu unayeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaa NAKUOMBA USINIACHE MPENZI
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/M1xWGgn
Tags:
MAHUSIANO