Pongezi kwako mpenzi kuwa wangu mtetezi kwenye jahazi la mapenzi,ufundi na ujuzi unao hasa tuwapo wawili chumbani.penzi lako halichakai daima huzaliwa upya.
Mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahaba sili nikamaliza,mapenzi ni raha kamwe siwezi kuipeza,nakupenda wewe pekee.
from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/U8ftuQ2
Tags:
MAHUSIANO