TUPENDANE MPENZI WANGU

*Tulipoamua kupendana Mimi na wewe 🌹🌹walisema tutaachan tu🌹🌹*

*Tulipoamua🌹🌹 kuwa pamoja wakasema tutaumizana tu🌹🌹*

*Awaamin kuona mpenzi 🌹🌹tunadumu🌹🌹awajui Siri ya furaha yetu ni Nini🌹🌹*

*Wewe ni mwanamke ulie na busara tele🌹🌹kwangu auchok kunipenda Yan kunijal umeweka mbele*

*🌹🌹My love wewe ni special sana🌹🌹unaejua mahana ya kupendana🌹🌹sio hao Kila kucha kuzozana🌹🌹sie kwenye makosa twalekebishana🌹🌹*

*🥰🥰Acha ninepe 🥰🥰mahan mwenzio kwako tepetepe🥰🥰mda wotewote Kwa baba nikupeleke🥰🥰au unasemaje mama ake? 🥰🥰*




from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/zKWfPX2

Post a Comment

Previous Post Next Post