I MISS YOU SO MUUCH


💙❤❤#__IMISS__YOU........❤❤💙

💙❤ Japo upo mbali na Mimi lakn sijakata tamaa ya kuwa nawewe bado nafkilia kuwa naww najua utarudi tu kwaajili yangu ❤💙

💙❤ Nahisi kama itakuw ndoto kwangu haitakuw rahisi kuamini kama niwewe au laa!!! ❤💙

💙❤ Kuna mda nataman ningekuw tu karbu nawewe hata kidogo tu lakn haiwezekan mpnz wangu japo najua ipo Siku utarejea na moyo wangu utafunguka tena ❤💙

💙❤ Unajua nimemiss Vingi sana kutoka kwko mpnz wangu nataman San nkuone hats Leo maana utakuw umetuliza kiu yangu ❤💙

💙❤ Japo inaniuma sana kila nikiona wapenz wawili wakionyeshana mazngira na kufurahi pamoja hakika hii attention inanikumbusha mbali sana ❤💙

💙❤ Lini utarudi mpnz wangu nipte kufurahia na wewe tu.. Ntaman nijue ili niwe na amani moyoni nimejiandaa kwaajili yako tu ❤💙 

💙❤ Hamna nilichobadilisha wala sijabadilisha maamuzi yangu kwako kwasabab najua bado  unanipenda ❤💙 

💙❤ Najua unapenda kuniskiliza na kuniheshm kwahili nakupongeza ndyo maana Mimi pia nakupenda ❤💙

💙❤ Astokee MTU akakudanganya na maneno yenye matambo akakuteka ukazitesa hisia zangu naomba uwe makn pia ujitambue moyo wangu me mdgo sana hautaweza kuvumilia kabsa  ❤💙

💙❤ Cwez kumpenda mwngne zaiid yako kwasabab sihitaj moyo wangu uwe na hekaheka ❤💙


from SMS ZA MAHABA https://ift.tt/cxJQRiq

Post a Comment

Previous Post Next Post