Mpenzi nikuulize kitu asubuhi hii? Je, ulivyoamka umewaza nini na Je umetazama nini, mie nilipoamka nikatazama nje kama kumepambazuka nikaona jua linachomoza nikatamani mapenzi yetu yazidi kuchomoza kila siku yawe mapya yaliyojaa Amani na furaha, pia nikawaza nifanyenini ili mapenzi yetu yazidi kuwa moto, hata nakosa maneno ya kukwambia namna navyokupenda, asubuhi njema babe
Tags:
ASUBUHI NJEMA