na usiku tena napata taabu kwa kukosa usingizi na sababu kila napotaka kusinzia taswira ya sura yako na maneno yako yanaingia katika ubongo wangu, nimejisikia mwenye Bahati sana, na hapo usingizi unanipaa , wewe ndo barafu Wa moyo wangu, nikwambie kitu mpenzi Wa roho yangu, Mimi nakupenda na nikutakie usiku mwema tena wenye Amani tele
Nilale na niote nini natamani napolala nikuote wewe mpenzi Wa roho yangu wewe ndiwe furaha yangu, usiku umetulia katika kitanda nimejilaza natafakari juu ya Upendo Wa Mungu kwangu na fadhila zake kwa siku na pia naona amenijalia Bahati ya kunipatia kimwana kama wewe hakika amenipatia, kwa kuumbika umeumbika na sauti nyororo ya kumtoa nyoka pangoni, wewe no mzuri hakika, ingekuwa mchana ningekwambia kitu ila kwakuwa in usiku nikwambie kitu, nakutakia usiku mwema , Love you mwaaaa