MZIGO MPYA WA MSG NZURI NA ZA KUVUTIA

Raha ya ndege tunduni sio kichakani asilani raha ya ndege mpunga sio majani raha ya ndege kuruka na kukimbia angani ndege salamu nakupa zipeleke kwa makini iwapo hukumkuta msubiri mlangoni usije ukaondoka ingia mpaka ndani mwanbie namkumbuka japokua simuoni
++++++++++++++++++++++++++

Nafungua moyo wangu kuishi milele maishani nafungua nafsi nikupende wewe pekee nafungua milango ya moyo wangu ili kupokea ugeni wowote wa moyo zaidi yako mpenzi nakupenda sana rahazizi
++++++++++++++++++++++++++

Mpenzi wangu naomba unisamehe nakupenda sana dear na nikweli kunawakati nakukosea lakini amini nakupenda sijawahi kujuta na sito jutia kamwe kua na wewe naamini nitaendelea kuwa muaminifu kwako nakupenda sana mpenzi wangu
++++++++++++++++++++++++++

Post a Comment

Previous Post Next Post