Nina mambo saba ya kukuambia ,lakini kwa sasa nakumbuka 6tu,bila shaka matano ndio muhimu kwa leo ,ila unayopaswa kujua ni manne kwa sasa ,oooh usijali nitakuambia ma3 tu,ila kwa jinsi ulivyo naona nianze na ma2 muhimu,ila yatakugusa sana na kwa kuwa sipendi kukuumiza naomba niseme moja tu .asubuhi njema
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Najua mimi sio wa kwanza kukuombea mema ,ila napenda kuwa ni mmoja kati ya wanaokutakia asubuhi njema.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°
Uzuni ,upole,ukarimu wanakusalimia. Furahana unyenyekevu wapo njiani wanakujakwako .ila taabu nashida hawatakuja kwasababu wote wanaumwa.mawazo mashakana kukata tamaa wapo jela.ushindi utajiri na amani wapo njiani wanakuja asubuhi njema
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Tags:
ASUBUHI NJEMA