Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani
nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budikumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali
hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu,
siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu
muhimu, unaeng’aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha.
“NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANgu
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu
muhimu, unaeng’aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha.
“NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANgu
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
,m
Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno
laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama
apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee
salamu “UHALI GANI MPENZI?”
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama
apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee
salamu “UHALI GANI MPENZI?”
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Tags:
MAHABA