Dear siku zimekaribia, miaka …… utatimiza katika hii dunia,
hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia,hongera kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi,
zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi.
Happy Birthday mpenzi.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupe
maisha marefu na kukuepusha na maradhi,
pongezi kwa wako wazazi
kwa kukuzaa mpenzi,
nakupenda la azizi.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Tags:
BIRTHDAY SMS