HomeKUTONGOZA sms za kutongoza kwa kiswahili. byADMIN •May 17, 2021 0 wengi hupenda fanta kwa ladha yake,wengine hupenda pilipili kwa muwasho wake,wengine hupenda asali kwa utamu wake ila mimi nakupenda wewe kwa upendo wako.mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenzi ni zawadi tabasamu nibusu niambie kiasi gani unanpenda,naweza kusema asilimia kubwa jina lako limezunguka kuta wa moyo wangu.kamwe jina lako haliwezi kufutika.nakupenda sana Tags: KUTONGOZA Facebook Twitter