"Hakika najutia kwa mambo unayonifanyia, nilijitoa kwa moyo wote na mwili wangu
kukuachia chochote utakacho kunifanyia ruhusa nilikupatia nikiamini utatulia
kumbe kunichezea ilikuwa yako nia, umetimiza sasa waniringia. Asante na Mungu
atanisaidia , kilio changu tena hutosikia . Stay blessed
" Hakika raha wajua kunipatia, fimbo wajua kuitumia sharti mtoto wakike nabaki
nagugumia kwa raha unayonipatia ambayo wengi wanaililia , plz utamu wangu
nitunzie!
Tags:
MCHANA MWEMA