Kwenye ubongo nimekusevu i love you na moyoni nimeandika only you na kila nimuonae nasema no one like you wala siogopi kusema i'm crazy for you every second ithink about you so napenda uamini me for you nicetym my dear mwaaaaaa pls kiss 4 me ok
Mapenzi ni safari :unifanye nauli ya moyo mapenzi ni maradhi:unifanye daktari nikutibu maradhi yako mapenzi ni kiu :niwe maji ya jangwani mapenzi chakula:nikulishe maishani mwako na uwe asali ndani ya moyo wangu
Tags:
KUTONGOZA