I love hugging you but I hate letting go. I love saying hello to you but I hate saying goodbye. I love watching you come towards me but I hate watching you walk away. I miss you.
#------*------*------*------#
Upendo ni tiba maradhi hukimbia,
Salamu ni shiba buriani yazidiwa,Kukumbukana ni haiba nuru hutuangazia,Kwa furaha na mahaba sitochoka kukusalimia,Za saa hizi kidani cha moyo wangu..................................??? &-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-&
Tags:
I MISS YOU