Nina mambo saba ya kukuambia, lakini kwa sasa nakumbuka 6 tu, bila shaka matano ndiyo muhimu kwa leo, ila unayopaswa kuyajua ni manne kwa sasa, oooh usijali nitakwambia matatu tu, ila kwa jinsi ulivyo naona nianze na mawili muhimu ambayo yatakugusa sana, kwa kuwa sipendi kukuumiza naomba niseme neno moja.Usiku mwema
Uzuri wa usiku si giza lifunikalo dunia. Wala si kimya kinachotawala mazingira, bali ni njozi njema zenye maono na matarajio yenye mafanikio, nakutakia usiku mwema.
Tags:
USIKU MWEMA