-Japo umeniuzi sina budi kukupa hizi pongezi,sijui umejifunza wapi mapenzi, hakika kwakomi ni mfungwa wa mapenzi! Nakupenzampenzi nitunziye langu penzi!,,
-Hakika sikutaraji kulikosa lako penzi, watakakuniacha kuniacha ningali nakuhitaji, mpenzitambua nahitaji yako hifadhi na niko radhikukupeleka hadi kwa wangu wazazi, aminikwenda kwa mwingine sihitaji. Nakupenda.,
Tags:
MSAMAHA